FIFA YAMPA ADHABU NZITO MCHEZAJI WA BLACK STARS YA GHANA BAAD YA KUPANGA MECHI



Edusei alikuwa amepigwa marufuku ya kutoshiriki mashindano yeyote ya kandanda na shirikisho la soka la Italia (IFF) pia mahakama ya rufaa ikaafiki uamuzi huo mwezi mei.

Edusei, aliwahi kuichezea Ghana katika kombe la kuwania ubingwa wa Afrika la mwaka wa 2000 .Mchezaji huyo wa zamani wa Black Stars alipatikana na hatia ya kupanga matokeo ya mechi ya serie B tarehe 23 mwezi Mei 2009 ambapo timu yake ya Bari iliambulia kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Salernitana.
Mechi yake ya mwisho ilikuwa mwaka wa 2011 katika klabu moja ya Uswissi mwaka wa 2011.

Post a Comment

Previous Post Next Post