HomeHABARI KITAIFA MAGUFULI HII NI FUNGA MWAKA!!! AFUTA MAJINA 50 YA MAOFISA WA SERIKALI KWENDA JUMUIA YA MADOLA The headliner 10:50 AM 0 Rais John P. Magufuli amefuta majina ya maafisa wa Serikali 50 na kubakiza 4 tu waliotakiwa kwenda kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola Hatua yake hiyo imeokoa takribani milioni 700 ambazo zingetumika kwenye malipo ya posho na tiketi za ndege You Might Like View all
Post a Comment