Story kubwa ya mechi hii sio magoli bali ni idadi ya watu walioingia uwanjani kuangalia mechi hii. Manchester United Vs Real Madrid wameweka rekodi ya kuingiiza mashabiki 109,318 na ticket zote za mechi ziliisha. Mechi hii ndio imeweka rekodi ya mechi ya soccer iliyowahi kuingiza watu mashabiki wengi kwenye viwanja vya Marekani.
MANCHESTER UNITED NA REAL MDRID WAWEKA REKODI MAREKANI
The headliner
0
Tags
MICHEZO KIMATAIFA
Post a Comment