MH; LAZORO NYARANDU AKABIDHI OFISI YA WIZARA YA MALI ASILI NA UTALII.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (wa pili kushoto) akipokea taarifa ya makabidhiano kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo, Lazaro Nyalandu (wa pili kulia) baada ya kukabidhiwa rasmi ofisi hiyo juzi Dar es Salaam.
Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk Adelhem Meru na Naibu Katibu Mkuu, Selestine Gesimba. (Picha na Hamza Temba).
No comments